Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » AIBU: WEMA SEPETU NI MIONGONI MWA MASTAA WA KWANZA KUWEKA PICHA ZA UTUPU BBM NA FACEBOOK

AIBU: WEMA SEPETU NI MIONGONI MWA MASTAA WA KWANZA KUWEKA PICHA ZA UTUPU BBM NA FACEBOOK


Picha hizo ambazo zilisambaa kwa kasi Jumapili Novemba 6 mwaka jana,  zilimuonesha mrembo huyo akiwa amelala kitandani katika staili mbalimbali huku kuanzia shingoni kwenda chini akiwa hana nguo.

Katika picha moja mlimbwende huyo  aliweka kiganja cha mkono wenye kidole chenye pete ya uchumba aliyokuwa amevishwa   na mpenzi  wake   wakipindi  kile (DIAMOND ).

 
Leo  hii  imekuwa ni  kawaida kabisa  kwa wasanii  wetu hapa nchini,Wamegeuza  mitandao  ya kijamii  kuwa sehemu  ya kuuzia nyeti  zao ambazo  naweza sema  hazina soko.
Nasema  hazina  soko kwa maana kwamba  KIBAYA SIKU ZOTE  CHAJITEMBEZA........Wangekuwa  ni wazuri wasingekubali  kutuonyesha uchafu wao.
Kwani ni  nani  asiyevijua viungo  vya  mwanamke? nani asiyevijua viungo  vya mwanaume?.......Acheni kuiga
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

Translate

 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. MPEKUZI - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger